Saturday, April 20, 2013

Tips on how to jailbreak iOS 6.1.3 tethered by using redsnow

First we should know the difference between jailbreaking na unlocking.,unapo jailbreak any device inamaanisha unaipa uwezo simu yako kuinstall applications bila limitations zozote na pia unapata nafasi kujua Mengi ambayo simu yako haikuweza hapo mwanzo, na unapo unlock simu it means unaipa uwezo simu yako iliyofungwa katika mtandao uwezo wa kutumia mtandao mwingine , okay turudi katika topic yetu.. Unapotaka kujailbreak iPhone iliyo katika iOS 6.1.3 utahitaji vitu kadhaa, USB cable ya simu yako ,redsnow software ambayo inaweza kupatikana kwaku google tu..na iOS firmware 6.0..lets assume umepata vyotev make sure your pc and phone both are full charged okay well, nenda kwa computer yako then run redsnow then connect your iPhone make sure imekuwa detected then press extra then select IPSW na uchague iOS 6.0 hakikisha redsnow ime identify hiyo firmware baada ya hapo press back then bofya jailbreak, then follow all procedures to put your iPhone into DFU mode then will done automatically, kumbuka jailbreak hii still tetherd inabidi kila unapozima simu ukiwa unataka iwe katika jailbroken mode you just head over redsnow then extra select IPSW 6.0 then just boot .. Na ruhusu maswali karibuni.